
Regenerative Braking
Course Description
Wakati unapokanyag breki, badala ya nishati kupotea kama joto, mfumo huu huchukua nishati hiyo na kuigeuza kuwa umeme, kisha kuihifadhi kwenye betri ya gari. Hii inasaidia kuongeza umbali unaoweza kutembea na gari na pia kupunguza uvaaji wa sehemu za kukaba.
Course Info
- Start Course: 08/03/2020
- Duration: 23h 30m
- Prerequisites: No
There are no reviews yet.