Ifahamu Historia ya Magari Usipitwe na Teknolojia Jifunze Ufundi

Tafuta Mfumo unaohitaji kujifunza!

KARIBU TUKUHUDUMIE KATIKA MAENEO YAFUATAYO!

IjueGari ni tovuti iliyolenga kukupa elimu na msaada juu ya mifumo ya magari. Uzoefu wetu katika fani ya magari, utakusaidia kupata ujuzi juu ya mifumo mbalimbali ya magari na utatuzi wa hitilafu zinazojitokeza katika mifumo hiyo ya magari.

image

MIFUMO YA MAGARI

Pata elimu juu ya mifumo ya kimakenika na umeme ya magari. Wakufunzi wetu mahiri watakuongoza katika kujifunza mifumo mbalimbali ya magari, hatua kwa hatua.

image

MATENGENEZO

Tunatoa huduma za matengenezo ya magari aina zote. Kupitia mtandao wa mafundi tulionao, tutakusaidia kupata mafundi bora mahali popote ulipo, watakaotatua tatizo la gari lako.

image

USHAURI JUU YA MAGARI

Usipate tabu unapofikiria kununua gari, tutakusaidia kutimiza malengo yako, kwa kukupa mwanga juu ya gari sahihi kwa uwezo na matumizi yako.

image

Jifunze Mifumo Mipya ya Magari

Karibu ujifunze namna Teknolojia Mpya zilizopo ndani ya Magari zinavyofanya kazi.

Jiunge Nasi Tukue Pamoja

Tumejidhabiti kukupatia huduma zenye viwango vya kifalme. Pamoja na utoaji elimu wa mifumo ya magari, tunatoa pia huduma za ushauri katika maeneo mbalimbali muhimu katika ufanyaji kazi wa shughuli za ufundi na uendeshaji wa biashara ya karakana za utengenezaji magari. Baadhi ya maeneo tunaweza kuwa mchango chanya katika biashara yako ni:

image

Wakufunzi Wabobezi

Jifunze kutoka kwa wakufunzi wenye uzoefu mkubwa.

image

Tunazingatia Usalama

Mafunzo yetu yanaendeshwa kwa kutanguliza Usalama.

image

Teknolojia Hai

Mafunzo yetu yanaendana na teknolojia iliyopo sokoni.

image

Viwango vya SAE

Mafunzo yetu yanazingatia viwango vya SAE.

    Jisajili Leo upate Elimu ya Magari

    Image

    Kozi

    0+

    Wataalamu

    0+

    image

    Soma Taarifa na Makala Zetu Mpya